Ticker

7/recent/ticker-posts

YANGA YAINGIA KWENYE TUZO YA KLABU BORA YA MWAKA AFRIKA

​Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara na wawakilishi wenza wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambao msimu uliopita walitinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Yanga SC wameingia kwenye kinyang'anyiro cha kusaka tuzo ya  timu bora ya mwaka kwa wanaume inayotolewa na Shirikisho la Soka Afrika  (CAF) kwa mwaka 2023.

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa  Desemba 11 mwaka huu nchini Morocco.

Pamoja na Simba kutazamwa kama timu kubwa Afrika, lakini haimo kwenye kinyang'anyiro hocho kinachohusisha timu za :-

1. Al Ahly (Egypt)

2. Raja Casablanca (Morocco)

3. Wydad Athletic Club ( Morocco)

4. Mamelod Sundowns (S. Africa)

5. USM Alger (Algeria)

6. Young Africans (Tanzania)

7. ASEC Mimosas (Cote D'Ivoire)

8. CR Belouizdad (Algeria)

9. Marumo Gallants (S. Africa)

10. ES Tunis (Tunisia)


Post a Comment

0 Comments