Ticker

7/recent/ticker-posts

SABAYA APANDISHWA TENA KIZIMBANI ARUSHA

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya leo Novemba1,2023 amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Rufaa ya Arusha, baada ya upande wa Jamhuri kukata rufaa ya kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha ya kumuachia huru mnamo Mei 22 mwaka 2022, kwa kosa alilokuwa anakabiliwa nalo la unyang'anyi wa kutumia silaha.

Post a Comment

0 Comments