Ticker

7/recent/ticker-posts

ALIYEPANDIKIZWA MOYO WA NGURUWE AFARIKI DUNIA

Lawrence Faucette, mtu wa pili aliyekuwa amesalia hai baada ya  kupandikizwa moyo wa nguruwe uliobadilishwa vinasaba kwa ajili ya majaribio, nae amefariki dunia ikiwa ni wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji.

Taarifa zinasema moyo ulianza kuonyesha dalili za kutokufanya kazi katika siku za hivi karibuni. 

Cc:bbc swahili

Post a Comment

0 Comments