Ticker

7/recent/ticker-posts

SIMBA YALAMBA UDHAMINI MNONO WA SBL

Klabu ya Simba imetangaza kuingia mkataba wa udahmini na kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL).

Udhamini huo utakuwa ni wa kiasi cha shilingi bilioni 1.5 kwa kipindi cha miaka mitatu.

Katika kipindi hicho Simba itakuwa na jukumu la kukitangaza kinywaji cha Plisner Lager kinachotengenezwa na kampuni hiyo.

Post a Comment

0 Comments