Ticker

7/recent/ticker-posts

MISS TANGA YASHIKA KASI

  

SHINDANO la kusaka mrembo kutoka mkoani Tanga limeshika kasi huku kilele cha shindano hilo kikipangwa kuwa Mei 6 mwaka huu kwenye ukumbi wa Tanga Beach Resort
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi rasmi wa shindano hilo, Mratibu wa shindano hilo, Victoria Martin amesema dirisha la kuchukua fomu za kuwania ulimbwende wa mkoa huo lilishafunguliwa na limefungwa Jumamosi ya Machi 18,2023.

Warembo waliopatikana wataanza mazoezi na kwamba warembo watakaoshiriki ni wale wenye umri wa miaka 18 hadi 24 na hawajaolewa wala kuwa na mtoto.

Post a Comment

0 Comments