Hayo yamesemwa na aliyewahi kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)Mhandisi Cyprian Luhemeja ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya
-
Akizungumza katika Mkutano wa Uzinduzi wa Taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa mwaka 2021/22 jijini Dar es Salaam, Luhemeja amesema vijiji 9,144 kwa sasa vinapata huduma ya maji na taratibu zinaendelea kuwezesha upatikanaji wa maji katika vijiji vingine 3,375.
Mkutano huo umeandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.

0 Comments