NDEGE ya Mizigo ya Shirika la Ndege la Tanzania, ATCL iliyopewa jina la Lake Tanganyika imeanza majaribio kabla ya kuruhusiwa kuanza safari yake kutoka Marekani hadi Tanzania.
Ndege hiyo ina namba za usajili 767-300F 5H-TCO

0 Comments