Ticker

7/recent/ticker-posts

PROF. MWANDOSYA: AWAOMBEA HEKIMA ZA MFALME SULEIMANI WASAIDIZI WA RAIS SAMIA

 

Prof. Mwandosya

Mwenyekiti wa Bodi, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji- EWURA Prof. Mark Mwandosya amesema kwa sasa hawezi kusema jambololote kwa kujipendekeza, badala yake anatema ukuleli wa mambo.

Alisema unwell wake ni kuwa  Rais Samia Suluhu Hassan ametuongoza kwa ujasiri na ushupavu wa hali ya juu.

 Aliyasema hayo wakati wa Uzinduzi wa Taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa  Mazingira kwa Mwaka 2021/22

 

“Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Kumpongeza. Kwa umri wangu siwezi kusema kwa kujipendekeza lakini niseme ametuongoza kwa ushupavu na ujasiri mkubwa. Tunaomba Mwenyezi Mungu na wale mnaomsaidia amjalie hekima za mfalme Suleimani.” 


Post a Comment

0 Comments