Mathew kabla na baada ya kujichora Tatoo
HATIMAE Mathew Whelan amekuwa mtu wa kwanza kuwa nchini Uingereza kuwa na Tattoo nyingi kuliko mtu yeyote nchini humo.
Kwa asilimia 90 mwili wa Whelan umejaa tatoo kwa asilimia 90 hali iliyoufanya eneo kubwa la mwili wake kuonekana tatoo tu.
0 Comments