Ticker

7/recent/ticker-posts

MDUDU MDOGO ANAYESUKUMA MZIGO MKUBWA ILI KUVUTIA MAJIKE

wanaitwa Dung Betle ni moja ya wadudu wenye mishe mishe ila mbayaa na sehemu sahihi za kuwaona ni kwenye mabanda ya ng'ombe na na mbugani karibu na vinyesi vya wanyama

Sasa hawa  ndio wadudu wenye nguvu kuliko kiumbe wowotee aridhini na majini.

Sababu kuu ni kwamba mwana anasukuma mzigo ambao ni mara nane ya uzito wake na anasukuma kuupeleka mbele au hata kupanda mlima na mzogo unafika flengwa kabisaa tena kibabe yaani Punda afe mzigo ufikee.


Siku zote madume  ndio husukuma mizigo mikubwa kuliko majike na kama ikatokea maza akasukuma basi huwa mzigo mdogo sana wa kishkaji 

Sasa kwanini wanasukuma huu mizigo ambao huwa ni mabaki kinyesi?

Ziko sababu mbili nazo ni kwamba

Sababu ya kwanza huo mzigo hutumika kama mahari kwa dume kwenda kwa jike, yaani ili dume aweze kupata jike ni lazima apeleke mzigo ulioshiba kwa mchumba wake ili kupata nafasi ya kuuuteka moyo wa mrembo wake na jike akiona mzigo uko poa basi ndio hukubali kuwa na mwanaume huyo.


Post a Comment

0 Comments