Leo jioni kimefanyika kikao cha Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba ambapo wamejadili mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya klabu.
Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene (Try again).

0 Comments