Ticker

7/recent/ticker-posts

TLS YAPATA VIONGOZI WAPYA

Chama cha  Mawakili (TLS), kimepata viongozi wapya. Viongozi waliochaguliwa katika Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) jijini Arusha ni Rais Wakili Msomi Harold Sungusia kushoto na Makamu wa Rais Wakili Msomi Aisha Sonda.

Post a Comment

0 Comments