Ticker

7/recent/ticker-posts

HERI YA KUZALIWA NYOTA WA SOKA ANAE CHIPUKIA

Charles Tulius Kiango

Bado ni mtoto mdogo, na leo ametikiza umri wa miaka sita, ameanza kuonesha uwezo mkubwa uwanjani.

Amekuwa na vitu mguuni vinavyomfanya aonekane moja ya silaha tegemeo kwenye kikosi cha Maendeleo Jr, kilichopo Madale jijini Dar es Salaam.

Charles Kiango anamudu vema kucheza nafasi nyingi na hakuna ubishi anaonekana kubeba mafanikio mengi ya soka katika siku zijazo.

Kinda huyu ni shabiki mkubwa wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, timu ya Yanga.

Heri ya kuzaliwa kwake.

Post a Comment

0 Comments