1.Kampuni 22,075 zimesajiliwa
2.Majina ya biashara 41,070 yamesajiliwa
3.Mikopo (Charges/debenture) 13,465 imesajiliwa
4.Taaarifa za wanufaika wa mwisho (Beneficial owners) wa kampuni 17,000 zimekusanywa
5. Ukaguzi elimishi kwa kampuni 80 za Jijini Dar es Salaam umefanyika
6. Maombi ya alama za biashara na huduma 9,218 yamepokelewa na kufanyiwa kazi kwa haraka
7.Maombi 113 ya hataza yamepokelewa na kufanyiwa kazi Rais Dkt. Samia akiapa kushika hatamu ya urais Machi 19,2021
8.Leseni za biashara kundi A zipatazo 14,263 zimetolewa
9.Mafunzo kwa maofisa Biashara 337 wa miko 19 ya Tanzania bara yametolewa
10.Ukaguzi elimishi kuhusu leseni za biashara kundi A katika mikoa nane ya Tanzania Bara yamefanyika
Mafanikio haya yanadhihirisha utendaji uliotukuka wa serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na dhamira ya BRELA ya kuipa uhai wa kisheria biashara ya kila mfanyabiashara.
Katika kutimiza miaka miwili ya Rais Dkt. Samia madarakani, Bodi ya Ushauri, Menejimenti na watumishi waw akala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wanampongeza Rais Dkt. Samia.
0 Comments