Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile ( aliyesimama) akitoa utangulizi wa masuala ya ushirikishwaji wa wazawa (local content) katika mradi wa bomba la mafuta ghafi (EACOP) kwenye semina ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini leo Februari 10, 2023 |
0 Comments