Ticker

7/recent/ticker-posts

MRITHI WA CHONGOLO CCM APATIKANA

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua mwanasiasa wa mkongwe na waziri wa zamani wa serikali ya awamu ya nne, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. 

Leo Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu Taifa. Kikao hicho kinafanyika leo, Januari 15, 2024 Kisiwani Zanzibar. Nchimbi ambae anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu.

Post a Comment

0 Comments