Ticker

7/recent/ticker-posts

CAF YAZIPANGA SIMBA NA YANGA KLABU BINGWA AFRIKA

​

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepanga makundi pamoja na kutoa ratiba ya Klabu Bingwa Afrika, ambapo Simba na Yanga zote za Tanzania zimetenganishwa.

Simba imewekwa kwenye kundi B huku Yanga ikiwekwa kundi C kama inavyoonekana hapo chini.

KUNDI .A

1. Sundowns 

2. Pyramids 

3. TP Mazembe 

4. Nouadhibou 

KUNDI. B

1. Wydad 

2. SIMBA SC 

3. ASEC Mimosas 

4. Galaxy

KUNDI. C

1. Esperance 

2. Petro Atletico 

3. Al-Hilal 

4. Etoile Sahel 

KUNDI. D

1. Al Ahly

2. CR Belouizdad 

3. Yanga

4. Medeama

Pia CAF imetoa ratiba kamili, ambapo Afrinews Swahili inachapisha ratiba ya Simba na Yanga hapo chini.



Post a Comment

0 Comments