Ticker

7/recent/ticker-posts

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI KWA ENEO KUBWA LA MISITU AFRIKA MASHARIKI

Hizi ni takwimu za mwaka huu wa 2023 zilizotolewa na Shirika la Chakula nanKilimo Duniani (FAO) zikionesha  kiasi cha eneo la ardhi lililofunikwa na misitu asilia au iliyooteshwa katika nchi tofauti za Afrika Mashariki. 

Misitu hiyo haijumuishi miti iliyo katika mifumo ya uzalishaji wa kilimo kama vile mashamba ya matunda na miti katika bustani.

Kwa mtiririko stahiki Tanzania inashika nafasi ya pili ikiwa na asilimia 51 ya ukubwa wa eneo la misitu nyuma ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo inaongoza kwa kuwa asilimia 55 ya eneo la msitu.

Post a Comment

0 Comments