Ticker

7/recent/ticker-posts

MAMELODI WAKWAMA NYUMBANI, WAONDOLEWA NA WYDAD

Matokeo ya sare ya bao 2-2 iliyoyapata timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini nyumbani yameipa nafasi timu ya Wydad Casablanca ya Morocco kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya awali timu hizo kutoka 0-0 

Wydad ambayo iliiondoa Simba kwa penati katika Robo Fainali, inatarajiwa kucheza dhidi ya AlAhly ya Misri Juni 4 na kurudiana Juni 11, 2023

Matokeo hayo yanaifanya Wydad kuwa sehemu ya timu nne za Afrika zilizosalia kwenye michuano mikubwa ya CAF ngazi ya klabu.

Timu hizo ni Al Ahly  na Wydad kwenye klabu bingwa Afrika na USM Alger na Yanga kwenye kombe la Shirikisho.

Yanga inakuwa timu pekee iliyosali kutoka kwenye ukanda wa nchi za Jangwa la Sahara.

Post a Comment

0 Comments