Francis Clifford Smith, ndiye mfungwa mkongwe aliyedumu Gerezani kwa muda mrefu zaidi Duniani. Francis amekuwa gerezani kwa miaka 73 tangu mwaka 1950.
Alihukumiwa kifungo cha maisha jela akiwa na umri wa miaka 23 alipopatikana na hatia ya mauaji mwaka 1950. Alizaliwa Oktoba 9, 1924 nchini Marekani.
Kulingana na ripoti Francis alikamatwa kwa mauaji ya mlinzi wakati wa wizi wa usiku mwaka 1950.
0 Comments