Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi |
Hivyo, tumefanikisha na kuanzia sasa TV zilizopo sehemu za kusubiria abiria pamoja na ndani ya boti na meli za kampuni hizo zitatumika kuonyesha Makala za Mafanikio ya Serikali katika sekta mbalimbali zilizoandaliwa na PDB kwa kushirikiana na Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali.
Hatua hiyo itawajuza wananchi na watu Serikali imefanya nini katika maendeleo hasa boti hizo kwa siku zinabeba abiria zaidi ya 6000. Aidha hiyo itakuwa ni fursa ya kutangaza vivutio vya kitalii vya Zanzibar na kuonyesha fursa za uwekezaji na biashara.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Habari – PDB
0 Comments