LHRC imetoa ripoti ya haki za binadamu na kuonesha vyombo vinavyoaminiwa zaidi patika utoaji haki na utatuzi wa migogoro Tanzania kwa mwaka 2022.
Ripoti hiyo ambayo imepewa jina la haki za binadamu Tanzania 2022 imeonesha kuwa watu wengi wanawaamini zaidi viongozi wa dini kwa asilimia 70, vikao via familia asilimia 60, NGO'S na watoa msaada wa kisheria asilimia 59, Mwenyekiti wa kijiji asilimia 41, viongozi wa kimila asilimia 39, Mahakama asilimia 38, mabaraza ya Kata asilimia 29 na Polisi asilimin 19.
0 Comments