Ajali mbaya imetokea muda huu katika eneo la Luguluni, Basi la Burdan kutoka Kibaha imegonga magari upande lilipokuwa na kuvuka hadi upande wa pili wa barabara na kukivaa kituo cha boda boda kinachitumiwa na wakazi wa kwenda kwembe.
Taarifa zilizotukia zinabainisha kuwa kuna watu kadhaa wameumia.
0 Comments