Ticker

7/recent/ticker-posts

WAZIRI JAFO AWATOLEA UVIVU MAMENEJA NEMC

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dkt. Seleman Jafo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Seleman Jafo ametoa mwezi mmoja kwa Mameneja Kanda - NEMC kuhakikisha wanazuia matumizi ya vifungashio kutumika kama vibebeo.

Post a Comment

0 Comments