Ticker

7/recent/ticker-posts

URUSI YATOA TAMKO ZITO

Dmitry Medvedeb

Naibu mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Utusi, ambae pia ni mwanasiasa mweye ushawishi NCHINI humo Dmitry Anatolyevich Medvedev ametoa tishio Kali dhidi ya jaribio lolote la kumkamata Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin.

Medvedev amesema jaribio lolote la kumkamata Rais Putin nje ya mipaka ya Urusi litakuwa Sawa na tangazo rasmi la vita na kwamba watatumia kila silaha waliyonayo kutoa majibu ya uhakika na dunia itashuhudia kile ambacho hakijawahi kutokea.

"Kila ukitembea ukumbuke kuwa angani kuna nguvu kuu mbili, moja inaitwa Mungu na ya pili ni Makombora ya Hypersonic ya Urusi," alisema Dmitry Medvedev.

Post a Comment

0 Comments