KILA mwaka watafiti wakubwa duniani wamekuwa wakifanya utafiti wao kwenye eneo la furaha kwa kuuliza maelfu ya watu kwenye nchi zaidi ya 140 ili kujua kiwango cha furaha.
Kwa mwaka 2022 utafiti umefanyika kwa nchi 146 ambapo wananchi wa nchi nyingi za Afrika zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara waliohojiwa wameonesha kuwa na kiwango kidogo cha furaha huku nchi nyingi za Ulaya zikionekana kuwa na furaha.
ZAMBIA YAONGOZO KWA WANANCHI WAKE KUKOSA FURAHA
1. Zambia
2. Malawi
3. Tanzania
4. Sierra Leone
5. Lesotho
6. Botswana
7. Rwanda
8. Zimbabwe
9. Lebanon
10. Afghanstan
NCHI ZENYE FURAHA KWA MUJIBU WA RIPOTI YA DUNIA YA MASUALA YA FURAHA
1. Finland
2. Denmark
3. Iceland
4. Switzerland
5. Netherland
6. Luxembuurg
7. Sweden
8. Norwy
9. Israel
10. New Zealand
0 Comments