Ndugu Omary Mgumba |
RAIS Samia Suluhusu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ndugu Omary Tebweta Mgumba na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndugu Waziri Kindamba.
Mbali na utenguzi huo pia Rais Samia amefanya uteuzi na mabadiliko ya manaibu Waziri, makatibu na manaibu katibu wakuu wa wizara mbalimbali kama ifuatavyo:-
0 Comments