Ticker

7/recent/ticker-posts

KIBOKO PIA HUTUMIA HISIA KUONA KITU KILICHO MBELE YAKE

Je, wajua?

Kiboko ana uwezo mkubwa wa kunusa na kugundua  kitu chochote kilicho mbele yake bila ya  kukiona.

Ikumbukwe kuwa macho ya Kiboko yako juu ya kichwa chake na yanaangalia pembeni hali hiyo  inamkosesha uwezo wa kuona moja kwa moja kitu kilicho mbele yake.

Hatua hiyo inamfanya Kiboko kutumia hisia zaidi katika kukabiliana na vilivyopo kwenye mazingira yake hasa vile vilivyopo mbele ya uso wake.


Post a Comment

0 Comments