Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 24.11 katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2022/23 ulioisha Juni 30,2023.
Makusanyanyo hayo ambayo ni sawa na asilimia 97.4 ya lengo la kukusanya shilingi Trilioni 24.76.
Makusayo hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 8.2 ikilinganishwa na makusanyo ya kipindi kama hicho Kwa Mwaka wa feeldha 2021/22 kama inavyoonekana kwenye taarifa rasmi ya TRA iliyosainiwa na Kamishna mkuu Alphayo Kidata.
0 Comments