Ticker

7/recent/ticker-posts

SWALA NI MPAMBANAJI ASIEKATA TAMAA

'Waterbucks' ni jamii ya Swala, jamii hii ni wepesi wa kugundua hatari na wana  nguvu ya ajabu ya kukabiliana na adui.

Wanapogundua wako kwenye hatari, husimama imara na kutumia pembe zao kujilinda.

Majike ya aina hii ya Swala hayana mapembe ila wanaume wanayo.

Wana moyo wa ujasiri na uvumilivu wa kutosha wa kukabiliana na hatari.


Post a Comment

0 Comments