Ticker

7/recent/ticker-posts

CHAKULA KINACHODHANIWA KUWA NA SUMU CHATEKETEZA FAMILIA

Idadi ya watu wa familia ya Lazaro Sanabanka mkazi wa kijiji cha Nyakanazi waliofariki dunia baada ya kula chakula kinachodhaniwa kuwa na sumu jioni ya November 13 mwaka huu imeongezeka kutoka watu 5 na kufika 6.

Aliyefariki dunia hii leo ni mtoto mdogo ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospital Teule ya Biharamulo

Post a Comment

0 Comments