Ticker

7/recent/ticker-posts

ZUCHU AWAFUNDA WASANII WENZAKE SIMBA DAY


​Msanii wa kike​ anaetingisha kweye anga la Bongo Fleva, Zuhura Othman Soud maaruku kama Zuchu, ametoa angalizo kwa wasanii wa muziki huo kuyathamini matamasha makubwa yanayoandaliwa na timu za mpira wa miguu nchini.

Kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram Zuchu ameandika:-

"Angalizo kwa wasanii, hizi ndio SUPER BOWL zetu tusizichukulie poa.. Maana Team za Soccer zimetuheshimisha hivyo nasi ni vyema Tuziheshimishe... Ikumbukwe kuwa Hii ni moja kati Ya SIMBA DAY KUBWA kutokea Kwenye historia, Upangiliaji wa show, mavazi Na Kila kitu .Na ilifanywa Na Mwanamke Na mwanamke mwenyewe ni Mimi. #ZUCHU".


Post a Comment

0 Comments