Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), imemfungia kwa muda wa mwezi mmoja Bondia Karim Mandonga ili kutoa nafasi kwake kufanyiwa uchunguzi wa Afya katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili
TPBRC imeweka wazi kuwa Mandonga hatoshiriki ngumi mpaka atakapopimwa afya yake kutokana na kupigwa TKO katika pambano lake dhidi ya Moses Golola kutoka Uganda lililofanyika Julai 29, 2023 jijini Mwanza.
0 Comments