Ticker

7/recent/ticker-posts

KING'ORA CHAGHARISHA KIKAO CHA BUNGE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson leo Juni 27,2023 ameharisha kwa muda kikao cha Bunge wakati likiwa kwenye kipindi cha  maswali na majibu.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya king’ora kinachoashiria kuna jambo la hatari kulia“Waheshimiwa wabunge hiyo sauti inaashiria tutoke humu ndani kwa haraka, kila mmoja atafute mlango wa kutoka na sote twendeni lile eneo la kukusanyikia, naahirisha shughuli za Bunge hadi hali itakapotulia’ amesema.

Post a Comment

0 Comments