Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imehamisha Huduma za Kodi zilizokuwa zikitolewa kwenye kituo kilichokuwa Upanga, jijini Dar es Salaam na kuzipeleka katika jengo la Mwalimu Nyerere Foundation lililopo barabara ya Morogoro mkabala na ofisi za jiji la Dar es Salaam.
Mabadiliko hayo yanaaza rasmi kesho Mei 8,2023.
0 Comments