Ticker

7/recent/ticker-posts

MWALIMU ALIYEMTOBOA JICHO MKEWE AKAMATWA

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha limefanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa Isack Robertson mkazi wa Sombetini, Arusha kwa tuhuma za kpiga na kumjeruhi mke wake Jackline Mkonyi mkazi wa Sombetini, jijini Arusha.

Mtuhumiwa huyo amekamatwa maeneo ya Himo mkoani Kilimanjaro. Mtuhumiwa huyo bado anahojiwa na mahojiano hayo yakikamilika atafikishwa mahakamani.

Post a Comment

0 Comments