Ticker

7/recent/ticker-posts

JUMBE ALISHAKIONA KIFO CHAKE

 

Wimbo wa marehemu Hussen Jumbe ambao umebeba taswira ya kifo cha  nguli huyo wa muziki nchini. Jumbe alifariki duniani Jumatatu ya wiki hii na kuzikwa siku ya Jumanne kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam. 

Post a Comment

0 Comments