Ticker

7/recent/ticker-posts

WAFUASI WA ODINGA WAANDAMANA NA MAWE MKONONI

 

Waandamanaji nchini Kenya

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya raia nchini Kenya na Wafuasi wa Kiongozi wa ODM, Raila Odinga wameanza maandamano nchini humo huku wakiwa wamebabe mawe.

 

Picha zilizochapishwa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vya ndani vimeonesha baadhi ya barabara na maeneo ya huduma za kijamii yakiwa yamefungwa.

Post a Comment

0 Comments