CAG, Charles Kichere
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameishauri Serikali kuteua wajumbe wa bodi wenye ujuzi na maarifa katika sekta husika ikiwa ni pamoja na ujuzi wa biashara.
Alisema kama hakuna ulazima wa kuteua basi nafasi hizo zitangazwe na wenye sifa watume maombi ili kupata watu sahihi watakaosaidia kuyapunguzia hasara mashirika ya umma.
0 Comments