Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameyataja mashirika Saba ya umma yenye hati chafu.
Hatua hiyo imekuja baada ya ukaguzi uliofanywa na CAG.
Katika taarifa hiyo iliyowasilishwa keo kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu, jijini Dar es Salaam, Ushetu imepata hati mbaya na Shirika la Masoko kariakoo likiwemo.
0 Comments