Ticker

7/recent/ticker-posts

SIMBA YAACHANA NA BALEKE, PHIRI

Klabu ya Soka ya Simba imetangaza kuachana na wachezaji wake wengine wawili, anbao ni Jean Baleke na Moses Phiri. Simba imewashukuru wachezaji hao kwa kazi waliyoifanya wakiwa kwenye kikosi cha timu hiyo, huku ikiwatakia kila la kheri huko waendapo. Mbali na Phiri na Baleke pia Simba imeachana na wachezaji wake wanne ambao ni Nassoro Kapama, Jimmyson Mwinuke, Mohamed Mussa na Shaban Chilunda.

Post a Comment

0 Comments