Ticker

7/recent/ticker-posts

SAMATA: TUNAWAHESHIMU MOROCCO, TUTAPAMBANA NAO

“Morocco ni timu kubwa na ngumu, ni moja ya timu bora sana kwa sasa Afrika na duniani, hivyo tunawaheshimu lakini hilo halituzuii sisi kwenda kupambana nao. "Jambo moja lililotuleta huku ni Tanzania kushinda hii michuano” Amesema nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wao dhidi ya Morocco utakaochezwa leo Stade Laurent Pokou, Ivory Coast.

Post a Comment

0 Comments