Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS WA ROMANIA AANZA ZIARA YA KIKAZI NCHINI

Rais wa Romania, Klaus Lohannis, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu  iliyoanza leo Novemba 16 na itafikia tamati Novemba19,2023.

Rais Klaus amealikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere amepokelewa na Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.


Post a Comment

0 Comments