OKTOBA 1,2023 imekuwa siku mbaya kwa baadhi ya wafanyabiashara baada ya maduka yao kuteketea kwenye soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Moto huo umeibuka mapema asubuhi hii na chanzo chake hadi Sasa hakikajulikana.
Maeneo yaliyoathiriwa na moto huo ni baadhi ya majengo, maduka na jengo la Big bon.
Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefanikiwa kuudhibiti moto huo.
0 Comments