Timu ya Simba pamoja na Singida Big Stars zote zimekamilisha na kuwasilisha vibali vya wachezaji wao wa kimataifa na leo wataweza kuvaa jezi za timu zao kwa ajili ya muendelezo wa michezo ya Ngao ya Jamii.
Kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Simba imewasilisha vibali vya wachezaji 11 huku Singida ikiwasilisha majina ya wachezaji 10.
0 Comments