Ticker

7/recent/ticker-posts

DOTTO BITEKO 'AKALIA KITI' CHA HAYATI AUGUSTINE MREMA




Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameirudisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu ambayo iliyowahi kushikiliwa kwa mara ya kwanza na Dkt. Salim Ahmed Salim  mwaka 1986-1989 na baadae  Hayati Augustine Mrema mwaka 1993-1994 wote kwenye serikali ya awau ya Pili.

Dotto Biteko ndie aliyekabidhiwa dhamana hiyo ya kumsaidia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Taarifa na mabadiliko yote uanasomeka kwenye taarifa ya Ikulu iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Post a Comment

0 Comments