Ticker

7/recent/ticker-posts

MSHINDANI WA MANULA SIMBA AANZA MAZOEZI MAKALI

Mlinda mlango mpya wa Simba, raia wa Brazili, Jefferson Luis Szerban mwenye umri wa Miaka 29, tayari ameanza mazoezi na wenzake.

Szerban amesaini mkataba wa miaka miwili na Simba, ambapo anatajwa kuwa mpinzani sahihi wa mlinda mlango namba moja wa Simba kwa sasa Aishi Manula.





Post a Comment

0 Comments