Ticker

7/recent/ticker-posts

MOHAMED HUSSEIN AKATAA KWENDA KAIZER CHIEF, ABAKI SIMBA

Beki wa kushoto wa klabu ya Simba SC, Mohamed Hussein amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu ya Simba mkataba utakaoisha mwishoni mwa msimu wa 2024/25 kwa ada ya usajili ya milioni 300 na mshahara wa milioni 10 kila mwezi. 

Mohamed Hussein aliyejiunga na Simba msimu wa 2014/15 akitokea Kagera Sugar amekataa ofa ya kusaini mkataba wa miaka mitatu wa klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini wenye ada ya usajili ya milioni 400 na mshahara wa milioni 30 kila mwezi.

Post a Comment

0 Comments