Ticker

7/recent/ticker-posts

KISHINDO CHA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII JUNI 2,2023

Wizara ya Maliasili na Utalii inatarajia kuwasilisha bungeni jijini Dodoma, makadirio ya Bajeti yake kwa mwaka wa fedha wa 2023/24.

Bajeti hiyo itasomwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe. Mohamed Mchengerwa Juni 2,2023.

Usikose kufuatilia bajeti hiyo ili kujua zaidi mipango ijayo ya wizara hiyo.

Post a Comment

0 Comments