Ticker

7/recent/ticker-posts

MWANAMUZIKI TINA TURNER AFARIKI DUNIA

​

Mwanamuziki maarufu duniani Tina Turner amefariki akiwa na umri wa miaka 83.

Kwa mujibu wa BBC World  News Tina Turner ambaye alikuwa akijulikana kama malkia wa rock n roll amefariki  nyumbani kwao Uswis baada ya kuugua kwa muda mrefu.


Post a Comment

0 Comments